Join us | Jiunge nasi

Bi. Lindiwe Masambuga, Afrika ya kusini
Ni wengi sana, ikiwepo Bi. Masambuga kutoka Afrika ya kusini, wamejiunga na kampeni hii na sasa wanafurahia maisha yao ambayo yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Bi. Lindiwe Masambuga amejiunga na SuccessLiving Africa mwaka 2012 akiwa hana kitu bali lengo la kutaka kuwa mfanyabiashara mkubwa nchini kwake. Tangu amejiunga nasi amekua akisoma na kuitumia SuccessLiving Africa kikamilifu bila ya uoga na sasa ni mfanyabiashara mkubwa sana katika nchi yake. 

Ukifanya maamuzi bora leo, unaweza ukatimiza ndoto yako kama ilivyokuwa kwa Bi Lindiwe. Nawe utaweza kukumbukwa na kutunukiwa tuzo mbalimbali na SuccessLiving Africa. Jiunge nasi leo kwa kujaza form ya bure na kuituma kwa mawakala wetu au walimu watakao tembelea katika eneo lako.

Fomu za mtandaoni zitaanza kupatikana hivi karibuni.

Asante
(Imetolewa na SuccessLiving Africa in Tanzania)