SUCCESS
C LIVING NI NINI?
Success
C Living ni huduma mahususi
inayotoa mafunzo maalum na ushauri pia msaada wa kibiashara kwa wafanyabiashara
wadogo wadogo na wale walio na hurka ya kufanya biashara. Mafunzo hayo
yanalenga kumsaidia mfanyabiashara kuzijua njia mbali mbali ambazo
zitamuwezesha kufanikiwa kibiashara na misaada itasaidia katika kujenga biashara.
HISTORIA YA SUCCESS C LIVING.
Huduma hii imeanzishwa
mwaka 2011 na kampuni ya Made’Gene Inc. ya nchini Afrika kusini kwa lengo la
kusaidia kampeni nzima ya “Tokomeza umasikini Afrika”. Success Living ni huduma
na sio kampuni. Huduma imesambaa katika ukanda mzima wa kusini mwa Afrika na
sasa Afrika mashariki.
Miaka
5 ya huduma bora.
MLENGWA NI NANI?
Mlengwa ni kila mtu
mwenye nia ya kufanya biashara yenye mafanikio au ni mfanyabiashara mdogo
mwenye uhitaji wa kufanikiwa katika biashara yake. Mafunzo yatakayotolewa
yatakupa uelewa na akili ya biashara ambayo itakuwezesha kufanikiwa kibiashara.
WEWE NI MLENGWA?
Je, unafikiri huduma
yetu itakufaa? Kama ndiyo, Success C
Living inakualika
kuwa mwanachama utakaepewa mafunzo na huduma ziada mbali mbali ikiwemo misaada,
mikopo, vitabu vitavyokupa uelewa zaidi wa mafunzo yatakayotolewa na
kukufaidisha mbeleni katika biashara yako hata ushauri wa papo kwa hapo hadi
miezi 6 mfululizo.
KAMA MWANACHAMA, UTAPATA MAFUNZO
KWA MUDA GANI?
Mafunzo yataanza mara
baada ya watu 20 na zaidi katika eneo lako kuthibisha kujiunga. Baada ya
mafunzo kuanza, yatachukua muda wa wiki 3 mfululizo, siku 2 kwa kila wiki 1
sawa na siku 6 hadi mafunzo kumalizika. Baada ya hapo itakuwa ni wakati wa
mwanachama wa Success C Living kutendea kazi kile atakachokuwa
amekipata katika mafunzo. Success C Living
itaendelea
kuwa na wanachama wake hata baada ya mafunzo kumalizika kwa ajili ya kutoa
huduma ziada kama ushauri na mikopo pia usimamizi wa biashara zitakazokua
zinafanywa na wanachama, Huu ni muda wako, ni msimu wako, ni mwaka wako wa
mabadiliko. Tengeneza maisha yako ya mbele.
KUNA GHARAMA ZOZOTE ZA KUJIUNGA AU HUDUMA?
Hakuna gharama zozote
za kujiunga na huduma hizi. Kujiunga ni BURE
kabisa. [Soma maelezo ya namna ya kujiunga na huduma hii]
Huduma zitakazotolewa
ndizo zitakazolipiwa. Gharama hizo zitakuwa kwa ajili ya mishahara na posho kwa
walimu watakaokuwa wanafanya kazi ya kutoa mafunzo pia huduma katika eneo
husika, kubadili gharama zitakazokuwa zimetumika katika kutengeneza vitabu na
vipeperushi saidizi kwa ajili ya kusaidia zoezi zima pia kumfanya mwanachama
kutambua uchungu wa gharama alizotoa ili aweze kufanya vyema katika biashara
yake.
Gharama hizo pia
zitawezesha kusaidia walimu katika usafiri wa maeneo watakayokuwa wakifanyia
kazi kwani maeneo mengi ni ya vijijini, mbali na pia usafiri mgumu. Ni motisha
kwa walimu.
ITAGHARIMU KIASI GANI?
Baada ya kujiunga bure
na huduma hizi, kila mwanachama atalipia kiasi fulani. Kiasi hicho kitatumika
kama kilivyoelezewa awali. Kiasi kidogo cha ziada kitapelekwa katika vituo vya
watoto yatima, mahospitalini na pia kununua chakula na mahitaji mbali mbali kwa
ajili ya maeneo hayo.
Gharama hizo ni kama
ifuatavyo:
|
*Darasa la mafunzo tsh12,000/
Kitambulisho tsh6,000/
Huduma kwa mwezi tsh10,000/
*Vipeperushi tsh5000/
Sehemu
zenye alama ya nyota (*) ni lazima zilipiwe. Kitambulisho
kitakuwezeshesha kuingia katika darasa lolote la mafunzo haya mahala popote
pale nchini.
Huduma
kwa mwezi utalipia kama utakuwa mwanachama wa muda mrefu (Miezi 6) wa
Success Living Services.
|
FAIDA ZA HUDUMA HII NI ZIPI?
ü Usimamizi bora wa biashara yako hadi miezi 6, ikiwa na maana kila
utakapopatwa na shida katika biashara, Success Living itakuepo kutoa msaada.
ü Misaada katika majanga mbali mbali kama kufiwa na ajali. Pale mwanachama
[wa muda mrefu] atakapopatwa na janga lolote kwa bahati mbaya, Success Living
itakuepo kusaidia.
ü Mikopo midogo midogo. Ni kwa wanachama wa muda mrefu pia watakaokidhi
vigezo na masharti watasaidiwa mikopo ili kusaidia biashara na maisha yao.
ü
Cheti cha mahudhurio kwa ajili ya biashara yako. Cheti hiki
kitakusaidia wewe kuaminika zaidi na wateja wako kwa biashara bora na yenye bidhaa
na huduma bora. Na
faida nyingi nyinginezo…
UNAJIUNGAJE NA HUDUMA HII?
Ni rahisi sasa
kujiunga, simu yako ya mkononi itakurahisishia kila kitu. Tuma ujumbe mfupi wa
maneno wenye jina lako lote, kata, wilaya na mkoa unaoishi kwenda namba 0 7 6 8 9 6 6 6
8 1 na
maswali kadhaa rahisi utatumiwa na utayajibu kwa njia hiyo. Au jaza fomu
utakayopewa na agenti wetu na umkabidhi. Fomu ni BURE.
SUCCESS
LIVING ITAHUDUMIA WATU CHINI YA 70 TU KWA KILA ENEO, HIVYO, WAHI NAFASI YAKO.
Tafadhali lipia huduma
siku ya kwanza ya mafunzo, ogopa matapeli watakaokutoza kabla. Taarifa ya eneo
la mafunzo litatangazwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) pia
walimu na maagenti wetu. Kama hutaweza kujiunga kwa wakati, karibu katika
darasa la mafunzo na utapewa fomu ya kujiunga BURE.